Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Watu wasiopungua 79 wamefariki hivi karibuni kutokana na ugonjwa usiojulikana ambao una dalili zinazofanana na mafua katika eneo la kusini-magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Kwa mujibu wa wizara ya afya, idadi kubwa ya waliofariki ni vijana wenye umri kati ya miaka 15 na 18.
Kufikia sasa zaidi ya watu 300 wameathiriwa, na wagonjwa wanaonyesha dalili kama vile homa, maumivu ya kichwa, mafua, kikohozi, shida za kupumua, na upungufu wa damu.
Timu za kukabiliana na hali hiyo zimetumwa katika Mkoa wa Kwango, hususan eneo la afya la Panzi, ambako ugonjwa huo umeenea zaidi, ili kushughulikia wagonjwa na kuchunguza asili ya ugonjwa huo.
"Mlipo huu tayari umesababisha vifo vya watu 79, hali ambayo imeipa mashaka mamlaka za mkoa wa Kwango. Gavana ameshatuma timu ya wataalamu ili kubaini tatizo, kukusanya sampuli, na kuzituma katika INRB (National Institute for Biomedical Research) kwa ajili ya uchunguzi zaidi"
Msemaji wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) aliambia Reuters kuwa shirika hilo lilifahamishwa kuhusu magonjwa hayo wiki iliyopita na kwamba linashirikiana na mamlaka za eneo hilo kufanya uchunguzi. Mfanyakazi wa WHO ambaye hakutaka kutajwa jina lake aliambia AP kuwa shirika hilo limeshapeleka timu yake kwenye maeneo yaliyoathirika ili kukusanya sampuli kwa ajili ya uchambuzi.
================================================================
At least 79 people have died from an unknown disease that is causing flu-like symptoms in south-western Democratic Republic of Congo, the health ministry says.
The health ministry says the majority of people who have died are between the ages of 15 and 18.
More than 300 people have been infected with patients exhibiting symptoms like fever, headaches, runny noses and coughs, breathing difficulties and anaemia.
Response teams have been sent to Kwango Province, specifically the Panzi health zone, where the disease is most common, to manage cases and investigate the nature of the disease.
Cephorien Manzanza, a civil society leader, told Reuters news agency the situation was worrying as the number of infected people continues to rise.
"Panzi is a rural health zone, so there is a problem with the supply of medicines," he said.
A World Health Organisation (WHO) Africa region official told the BBC they have "dispatched a team to the remote area to collect samples for lab investigations".
Authorities have urged the population to remain calm and vigilant.
They urged people to wash their hands with soap, avoid mass gatherings, and avoid touching the bodies of the deceased without qualified health personnel.
A local MP told Top Congo Radio that about 67 people had fallen sick and died between 10 and 26 November.
"It should be noted that Panzi hospital is short of medicines to cope with this epidemic. We really need assistance," said the MP.
The central African country has also been dealing with a severe outbreak of mpox. Between January and July this year, they recorded about 14,500 infections.
DR Congo has also dealt with bouts of Ebola over the years.
Source: BBC