Pole sana,Naomba msaada wako Dr. Nina tatizo la miaka mitano sasa, nasumbuliwa na tatizo la kuumwa na kinywa yaani Kuna mda juu ya kinywa kunatoka alama nyekundu za mviringo zinauma sana, pia chini ya ulimi Kuna maumivu makali sana, Kuna kipindi kichwa kinauma sana. Naomba msaada wako
Pole sana,
Ngoja nikusaidie tu kwa kumuita Dr. MziziMkavu njoo huku mtu anahitaji msaada wako.
Pole kwa kuumwa piga picha ya huo ulimi wako tupate kujuwa unaumwa na maradhi gani?Naomba msaada wako Dr. Nina tatizo la miaka mitano sasa, nasumbuliwa na tatizo la kuumwa na kinywa yaani Kuna mda juu ya kinywa kunatoka alama nyekundu za mviringo zinauma sana, pia chini ya ulimi Kuna maumivu makali sana, Kuna kipindi kichwa kinauma sana. Naomba msaada wako