Ugonjwa Sugu

Ugonjwa Sugu

nyahinga

Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
45
Reaction score
23
Naomba msaada wako Dr. Nina tatizo la miaka mitano sasa, nasumbuliwa na tatizo la kuumwa na kinywa yaani Kuna mda juu ya kinywa kunatoka alama nyekundu za mviringo zinauma sana, pia chini ya ulimi Kuna maumivu makali sana, Kuna kipindi kichwa kinauma sana. Naomba msaada wako
 
Pole sana,
Ngoja nikusaidie tu kwa kumuita Dr. MziziMkavu njoo huku mtu anahitaji msaada wako.
 
Nenda hospital ndugu... Kuna maspecialist wa kila namna

Sio dispensary, hospital
 
Naomba msaada wako Dr. Nina tatizo la miaka mitano sasa, nasumbuliwa na tatizo la kuumwa na kinywa yaani Kuna mda juu ya kinywa kunatoka alama nyekundu za mviringo zinauma sana, pia chini ya ulimi Kuna maumivu makali sana, Kuna kipindi kichwa kinauma sana. Naomba msaada wako
Pole kwa kuumwa piga picha ya huo ulimi wako tupate kujuwa unaumwa na maradhi gani?
 
Back
Top Bottom