Hawana wanyama wengine wa kula?Kwa mujibu wa ofisi ya WHO barani Afrika, mlipuko wa kwanza katika mji wa Boloko ulitokea baada ya Watoto watatu kula popo na kufariki ndani ya saa 48 baada ya kuonesha dalili za homa na kutokwa na damu.
Mkulu, sina uhakika wa madai kwamba madaktari wanalipwa, lakini nakubaliana na ww kuwa upo uwezekano mkubwa hizi ni njama za kujenga hofu na hatimae watu wakimbie maeneo yao-haswa.madaktari wa ukanda huo wanalipwa kujenga hofu kwa watu wapakimbie au wasiende ili waibe madini vzr , tangu nakuwa nasikia ugonjwa mpya DRC , mpk ss sikuwai juwa yameishia wap hayo magonjwa
Hawagundua kuwa ni nyamaMasikini hata sisi mbona tunao na hawali popo mkuu?
Mimi nafikiri nchi zetu hizi za Africa na dunia ya tatu zikianza kugonga population ya watu milioni 100 unaanza kuona mambo ya ajabu ya vita, umasikini wa kutupwa, ujinga wa ajabu, ugaidi, kulakula vitu ovyo, magonjwa ya ajabu.Hawagundua kuwa ni nyama
Hata ukizaliwa kwenye mji wa Baraka?!Kuzaliwa congo laana
Sio congo yote, huko kinshasa ni raha na burudaniKuzaliwa congo laana
Kitoto cha NgedeleWaliokula popo khaa😢 nyie nchi za wenzetu njaa ni kali mno! Kuna picha imesambaa jamaa sijui anakula kitoto cha ngedere toba.. aisee mpaka unahisi kutapika. MUNGU awasaidie hawa watu