Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Niende kwenye hoja.
Sijui ni ugonjwa gani huu, mapele na yakipasuka yanageuka madonda. Watoto wanawashwa na akijikuna anazidisha maambukizi na madonda huwa makubwa na kwa dalili ilivo inaonekana wanaumia sana.
Madktari nilionana nao wapo kana kwamba wanabuni tatizo.
Kama kuna aliyeona shida kama hii anipe njia ya kupambana.
Mrejesho.
Mtoto mmoja amepona wakati mwingine bado, japo sii sana.
Nilimpa dawa za minyoo, vetrizen