Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Hadi Junior nae amepatwa na maambukizi?Hili tatizo ni kubwa Kwa sababu mtaa mzima watoto wameathirika
Tulimpa lkn waaapi. InarudiaMpe Antibiotique tu atakuwa Sawa,Mwanangu pia ameXeperience hilo tatizo..Ila kabla hujampa Antibiotique mpe dawa za minyoo kwanza kama amepitisha miezi mitatu bila kunywa.
Watoto ukiwapa Sana dawa ni hatariMpe Antibiotique tu atakuwa Sawa,Mwanangu pia ameXeperience hilo tatizo..Ila kabla hujampa Antibiotique mpe dawa za minyoo kwanza kama amepitisha miezi mitatu bila kunywa.
Safi Sana, ni kidonge au tubeMpe cetrizen sijui kama nimeandika sahihi.
Mwanangu aliponea hizo.
Hongera Baba watoto na Asante sanaHii ilitokea kwa mtoto wa rafiki yangu nikampigia doctor mmoja nje akanambia ampeleke akapime choo then aandikiwe dawa za minyoo baada ya kutazama choo
Then antibiotics zikafuatia. Mtoto kapona kabisa, antibiotics hazitifanya kazi kama mtoto ana minyoo mingi
By baba mwenye watoto wawili
Lonawatesa watotoHii nimeisikia jana kwa mtoto mwenye umri wa darasa la nne akinipa story mimi, dogo anahadithia akisema hivi"
👇
mtoto wa mama, anatoka vipele mpaka matakoni analia sana,akijikuna vinaota vipele vingine.
Baada ya kuona uzi huu ndio nikakumbuka pia hili gonjwa lipo.
ArushaMkoa gani na wilaya gani....?
Kidonge.Safi Sana, ni kidonge au tube