Ugonjwa wa Cancer(Do-it-yourself Disease)

Ugonjwa wa Cancer(Do-it-yourself Disease)

Great Cbn

Senior Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
165
Reaction score
43
Cancers nyingi zimekua zikisababishwa na BINADAMU wenyewe(do-it-yourself diseases).Tumekua tukiikuza kwa kuendelea kudumu katika sababu fulani za kimazingira. Vitu ambavyo tunakula,kunywa, mahal ambapo tunaishi na kufanya kazi na hewa tunayovuta vinaweza kutufanya kabisa kuwa katika hatar ya kupata cancers. HATARI ZINAZOSABABISHA CANCER TUMBAKU-Uvutaj wa sigara unaweza sababisha cancer ya mapafu RED MEAT-nyama za ng'ombe , mbuzi, kondoo na n.k za weza sababisha cancer ya utumbo mpana POMBE-vinywaji vikali vinaweza kusababisha cancer ya ini,koo pia kwa wanawake yaweza sababisha cancer ya matiti OVEREATING-Kula kupita kias pia kunaweza sababisha cancer ya utumbo mpana,kibofu Kwa Wanaume Hivyo yatupasa kuwa makini na aina ya maisha tunayoishi kwan Asilimia 80 ya cancer inasababishwa na binadamu wenyewe kwa kuvuta, kunywa na n.k.
 
Mkuu.Great Cb Umezungumza vya kutosha unatushauri tufanye nini ili kuepuka na hiyo Cancer?
Epuka kuvuta sigara, kunywa pombe, kula mara kwa mara nyama za ng'ombe , mbuz, kondoo n.k , Pia epuka kula vyakula vya kusindikwa viwandan ambavyo utumia chemikal katika kuviifadh (cancer-producing Chemical), Pia waweza kula Vyakula kama maembe , machungwa, malimao, pilipili oho , vitunguu, swaum ambavyo vina kemikal ya asili ambayo inapatikana katika mimea na sio kwenye mazao ya wanyama.
 
Ebwana cjakuelewa kabisa mana unaposema watu wasile nyama eti unadai wale mapilipili hoho,maembe n.k inamaana sasa wakua wakula matunda cku zote au inakuaje apo?
 
Ebwana cjakuelewa kabisa mana unaposema watu wasile nyama eti unadai wale mapilipili hoho,maembe n.k inamaana sasa wakua wakula matunda cku zote au inakuaje apo?
Sio watu wasile nyama, unaweza ukala nyama lakini sio mara kwa mara mf; mara moja kwa wiki au hata mwez , pia unaweza usile tu pilipil , ukala vyakula vya kawaida kama mihogo,wali, ugal na n.k lakini uifadh wake hautuumii kemikal lakin vyakula vya viwandan kama nyama za kopo,maharage ya kopo na n.k huiwafadhiwa kwa kemikal , na hayo matunda niliyoyataja ambayo yanatokana na mimea yanatoa kemikali asilia ambayo inaweza kukulinda na huu ugonjwa.
 
Back
Top Bottom