Cancers nyingi zimekua zikisababishwa na BINADAMU wenyewe(do-it-yourself diseases).Tumekua tukiikuza kwa kuendelea kudumu katika sababu fulani za kimazingira. Vitu ambavyo tunakula,kunywa, mahal ambapo tunaishi na kufanya kazi na hewa tunayovuta vinaweza kutufanya kabisa kuwa katika hatar ya kupata cancers. HATARI ZINAZOSABABISHA CANCER TUMBAKU-Uvutaj wa sigara unaweza sababisha cancer ya mapafu RED MEAT-nyama za ng'ombe , mbuzi, kondoo na n.k za weza sababisha cancer ya utumbo mpana POMBE-vinywaji vikali vinaweza kusababisha cancer ya ini,koo pia kwa wanawake yaweza sababisha cancer ya matiti OVEREATING-Kula kupita kias pia kunaweza sababisha cancer ya utumbo mpana,kibofu Kwa Wanaume Hivyo yatupasa kuwa makini na aina ya maisha tunayoishi kwan Asilimia 80 ya cancer inasababishwa na binadamu wenyewe kwa kuvuta, kunywa na n.k.