Ugonjwa wa Chango

Ugonjwa wa Chango

MteuleGM

Member
Joined
May 10, 2010
Posts
91
Reaction score
28
Wataalam,

Naomba nielimishwe, ugonjwa wa chango unaitwaje kwa kiingereza? Naweza kupata ufafanuzi kidogo kuhusu ugonjwa huu? Maana utasikia mtu tumbo likiunguruma wanasema ni ugonjwa wa chango ambao kwa akina mama husababisha eti wasibebe mimba.
 
Kulingana na kamusi ya TUKI mchango unaitwa "intestinal worm" pia inajulikana kama "threadworm" au "pin worm"
 
Back
Top Bottom