Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulingana na kamusi ya TUKI mchango unaitwa "intestinal worm" pia inajulikana kama "threadworm" au "pin worm"Wataalam,
Naomba nielimishwe, ugonjwa wa chango unaitwaje kwa kiingereza? Naweza kupata ufafanuzi kidogo kuhusu ugonjwa huu? Maana utasikia mtu tumbo likiunguruma wanasema ni ugonjwa wa chango ambao kwa akina mama husababisha eti wasibebe mimba.