Ugonjwa wa Corona sio wa kuisha hivi Karibuni Duniani

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Nionavyo mimi,

Ugonjwa wa corona hauwezi kuisha anytime soon na hata baadhi ya nchi zilizochukua uamuzi wa lockdown watasitisha lockdown na bado maambukizi yataendelea. Mfano China wameondoa lockdown lakini maambukizi yanaendelea.

Sababu kuu ninavyoona ya ugonjwa huu kutokuisha duniani mapema ni:

Namna unavyo sambaa: Ugonjwa huu umejengwa kwenye mazoea ya kila siku ya mwanadamu mfano kusalimiana, kukumbatiana, kugusana, kukohoa, chafya nk. Mazoea haya ni changamoto kuachwa kwa kuwa binadamu ni 'social being' lazima achangamane na watu wengine.

Pia mtu anaweza eneza ugonjwa huu bila kujua kwa maana asiwe na dalili yoyote. Huu ni ugumu mwingine kuudhibiti ugonjwa.

Suluhu nzuri kwa maoni yangu mbali na kuchukua tahadhari za kunawa mikono nk ni kuwatenga watu wenye umri mkubwa ambao ndio wana risk kubwa.

Hili limeshauriwa pia na waziri wa ulinzi wa Israel. Angalia hapa

Mwisho kabisa, wakati tunajikinga, tutumie fursa vizuri. Kwa nchi yetu sehemu kubwa tunategemea kilimo tulime vya kutosha. Utalii unaweza usifanye vizuri kipindi hichi ila kilimo na ufugaji vinaweza kututoa, tusilale!!

Waziri wa kilimo saidia watu kuuza chakula, matunda na bidhaa nyingine Ulaya na Asia. Kuna nchi stock za chakula na bidhaa zimeshaanza kupungua.

Baada ya hapo wakati kinga/chanjo itakapokuwa imepatikana (maana wanasema itapatikana sio chini ya mwaka mmoja) basi Tanzania kama nchi tuwe tumepiga hatua.

Tufanye kazi haswa.
 
Umeongea vema! Hili dude haliondoki hivi hivi, limakuwa jaribu tu watu waliabudi lenyewe kuliko Mungu wa Kweli.

Rwanda ilitangazo lockdown, lkn leo maambukizi yameongezeka.

Chamsingi tumsihi Mungu huku tukifuata maelekezo ya serikali na namna ya kujikinga.

Shughuli za kiuchumi ziendelee kwa umakini mkubwa.

Vyuo na shule zifunguliwe waendelee na masomo, Elimu itolewe kila shule ikiwezekana vituo vya afya vijengwe kila shule.

Lakini tukisubiri eti hali iwe shwari afu ndo shughuri ziendelee aisee tusubiri sana!
 
China utaisha.
Kwa sababu leo wamefunga mipaka yao hakuna ngedere yoyote kuingia
 
Umeongea vema! Hili dude haliondoki hivi hivi, limakuwa jaribu tu watu waliabudi lenyewe kuliko Mungu wa Kweli.

Rwanda ilitangazo lockdown, lkn leo maambukizi yameongezeka.

Chamsingi tumsihi Mungu huku tukifuata maelekezo ya serikali na namna ya kujikinga.

Shughuli za kiuchumi ziendelee kwa umakini mkubwa.

Vyuo na shule zifunguliwe waendelee na masomo, Elimu itolewe kila shule ikiwezekana vituo vya afya vijengwe kila shule.

Lakini tukisubiri eti hali iwe shwari afu ndo shughuri ziendelee aisee tusubiri sana!

Kweli kabisa. Imagine Rwanda mpaka kuna watu wameuliwa kwa kosa la kuzurura wakati wa lockdown. Uganda na India watu wanakula fimbo kama wanyama. Ila yote hayo hayatasaidia.

Shule zifunguliwe watu wachukue tahadhari full stop.
 
Hilo ndo la msingi mkuu Q="bizplan, post: 34787185, member: 153688"]
Kweli kabisa. Imagine Rwanda mpaka kuna watu wameuliwa kwa kosa la kuzurura wakati wa lockdown. Uganda na India watu wanakula fimbo kama wanyama. Ila yote hayo hayatasaidia.

Shule zifunguliwe watu wachukue tahadhari full stop.
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom