RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Wadau kama niwafatiliaji wa michuano ya mpira uefa euro 2020 inayoendelea utaona kwamba wenzetu janga hili haliwagusi watu wamejazana uwanjani na hawana barakoa kulikoni sisi huku Afrika.
Nini kinaendelea nyuma ya pazia kuhusiana na janga hili la corona?
Sisi kama watanzania hili swala inatakiwa tuliangalie swala hili kwa umakini katika kupambana nao kama kuna hujuma au propaganda za uongo kuhusiana na ugonjwa huu kutoka magharibi kuna kila sababu kuangalia maamuzi yoyote tunayoweza kufanya kama taifa.
Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan tunaomba uwe makini sana usije ukafunga mipaka na kufungia watu wakafa na njaaa huku kwa wenzetu wanakenua meno nakutuona wajinga kuwa na roho ya kijasiri kama ilivyokuwa 2020 wakati tunapambana na ugonjwa huo.