Ugonjwa wa dengu

Ugonjwa wa dengu

Joined
Jan 15, 2013
Posts
77
Reaction score
27
Natumai hamjambo wandugu,

Kabla ya Bunge la Bajeti kuanza, kuliibuka khabari za huu ugonjwa wa Dengu, lakini sasa imekuwa kimyaaaaaaa,

Ukimya huu unaashiria nini?

Updates tafadhari.
 
Walikuwa ni wanasiasa tu wale walioleta habari za ugonjwa wa dengu, sahizi wameleta mwingine unaitwa ugonjwa wa 'KUTUPA MIMBA' na unatokana na kula nyama nyama na dalili zake nyingi wanasema ni kama zile za malaria, nadhani watakuwa wana-agenda ya kupunguza bei ya nyama.
 
Natumai hamjambo wandugu,

Kabla ya Bunge la Bajeti kuanza, kuliibuka khabari za huu ugonjwa wa Dengu, lakini sasa imekuwa kimyaaaaaaa,

Ukimya huu unaashiria nini?

Updates tafadhari.

Hata wewe ulikuwa kimya naona umeibuka leo
 
Back
Top Bottom