Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa mtu mmoja amekutwa na Dalili zote za Ebola huko Mwanza
Source: STAR TV.....angalia taarifa ya habari leo usiku
Ugonjwa wa Ebola umegundulika umeshaingia Mwanza.
Na hapo ndani ya hema kuna hao wagonjwa wanatibiwa nje kidogo ya hospitali ya mkoa Sekou Toure...
rmo mwanza amethibitisha kupokelewa kwa mgonjwa huyo mmoja na amendaa eneo la milongo katikati ya jiji kwa ajiri ya kuwahifadhi wagonjwa wanaogundulika......mzee una hakika ya maneno yako?
rmo mwanza amethibitisha kupokelewa kwa mgonjwa huyo mmoja na amendaa eneo la milongo katikati ya jiji kwa ajiri ya kuwahifadhi wagonjwa wanaogundulika......
tulipoambiwa hapa kuwa imeingia kagera, aliibuka afisa afya akakanusha haraka haraka na kuponda kuwa ni habari za jf. Sasa imefika mwz. Nadhani sasa akili zitafanya kazi. Huu upuuzi wa kuficha maradhi ni kasumba mbaya sana!
hapana kaka ziwa halina uhusianokatikati ya jiji?
Hivi ziwa victoria halina some sort of a colony?
hapana kaka ziwa halina uhusiano