Ugonjwa wa Ebola waingia jijini Mwanza!

Ugonjwa wa Ebola waingia jijini Mwanza!

Vyombo vya habari navyo vijifunze kuwa ethical na kutoa taarifa ambazo hazina mashaka na zina uhakika kutoka kwa wataalam ma mlaka husika.
 
mfumuko wa bei unatuua
malaria ndo usiseme
sasa ebola imevuka ziwa inakuja huku bara
malawi vita in waiting.

Twafaaaaaaaaaaaaaa na raisi katoka Uganda, kaunganisha ghana. Akirudi sijui Msata?

Hili nalo ni upepo, litapita!
 
title inaonyesha kuwa tayari ebola ipo mwanza wakati doctor kasema mgonjwa ana dalili za ebola na vipimo vimepelekwa nje ya nchi kwa uthibitisho zaidi hebu itendee haki habari hii mkuu wote tumeiona

mmuu yamekua hayo tena hilo ni janga la Kitaifa hamna kwenda INDIA hapo sindio Mawaziri Ote watatukimbia wakakae India mpka ugojwa uishe???
 
Ugonjwa wa Ebola umegundulika umeshaingia Mwanza.

Na hapo ndani ya hema kuna hao wagonjwa wanatibiwa nje kidogo ya hospitali ya mkoa Sekou Toure...

attachment.php
 

Attachments

  • ebloa mwanza.jpg
    ebloa mwanza.jpg
    57.9 KB · Views: 774
Back
Top Bottom