Ugonjwa wa Ebola waingia jijini Mwanza!

Mgonjwa mmoja ambaye n mtoto amebainika kuwa na dariri zote za ugonjwa wa ebora katka hosp ya s.toure na kupelekwa bugando ambapo hata hivyo insemekana amerudishwa kupata sehemu maarumu ya kumuhifadhi ikiwa n pamoja na kuweka mahema sehemu

Pole,unafanya kazi nzuri ya kumsaidia shetani kuwafanya wanadamu kuwa roho juu.
 
mfumuko wa bei unatuua
malaria ndo usiseme
sasa ebola imevuka ziwa inakuja huku bara
malawi vita in waiting.

Twafaaaaaaaaaaaaaa na raisi katoka Uganda, kaunganisha ghana. Akirudi sijui Msata?
 
Kesho nawasha kagari kangu na kuondoka kwenda kijijini!
 
upo sahihi mkuu bcoz pale wanapowaweka ni sehemu yenye shuguli nyingi na watu wengi hukusanyika kufanya biashara hivyo ni rahisi zaidi kusambaaa
 
Kama mganga mkuu wa Mkoa Mwanza amethibitisha nategemea wizara ya afya itoe tamko mapema iwezekanavyo kufuatia habari hii nzito, na kueleza wazi tahadhari za muhimu.
 
Ee Mungu turehemu. Badala ya kuingia vitani na Malawi, hebu vita na ugonjwa huu itangazwe mara moja.
 
mfumuko wa bei unatuua
malaria ndo usiseme
sasa ebola imevuka ziwa inakuja huku bara
malawi vita in waiting.

Twafaaaaaaaaaaaaaa na raisi katoka uganda, kaunganisha ghana. Akirudi sijui msata?

na bado ajali kweli twafaa mwaka huu!!!****** huyu mmmh???
 
Bunge livunjwe na wabunge wote waje mwanza kusaidia utoaji huduma
 

title inaonyesha kuwa tayari ebola ipo mwanza wakati doctor kasema mgonjwa ana dalili za ebola na vipimo vimepelekwa nje ya nchi kwa uthibitisho zaidi hebu itendee haki habari hii mkuu wote tumeiona
 
Tuna hofu ya kwmb serikali legelege dhaifu italalama ya kwmb kama sio mgomo wa madaktari huu ugonjwa isingetufikia,Serikali dhaifu kama hii ya jk haikaiwii kulalama!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…