Ugonjwa wa gonorea

geesten66

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
2,042
Reaction score
2,370
Hivi huu ugonjwa unatokana na kufanya mapenzi tu hakuna njia nyengine inayo sababisha huu ugonjwa

Mdogo wangu wa kiume umri 13 kaupata huu ugonjwa yani hata sex ajui.
 
Habari yako.

Naamini mpaka kufikia hatua ya kutambua ugonjwa alionao mdogo wako mtakua tayari mmeshafika hospitali. Nadhani ingalikua vema haya maswali ungepata majibu hapo hospitali mlipoenda.

Ila kwa upande mwingine asante kwa kulisema hili hapa jukwaani ili na wengine wajifunze.


Ahsante
 
Nimeuliza Doctar majibu ugonjwa huu unatokana na kufanya ngono au kuwa na wapenzi wengi Sawa huyo dogo kaupataje?
 
Unaambukizwa pia kwa kutumia hata taulo alilojifutia mwenye Gono sehemu zake za siri.
Angalia watu anaoshea nao nguo,mataulo nk..kama anasoma boarding ndo kabisa

Watu wenye gono wanatoa vitu kama usaha unatoa harufu mbaya..ule usaha ukikugusa wewe unalo.
Au katoka kuoga kachukua taulo lako kajifuta kaliacha,we bila kujua nawe unaenda kuoga unajifuta nalo hasa kwenye sehemu za siri unaupata.
 
pia nitoe angalizo kwa wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa vya jumuiya hakikisha unapokaa uume wako kwa mbele haugusi kile kisahani unaweza pata magonjwa ya zinaa kama Gonorrhoea au Syphilis(kaswende).Pìndisha uume wako kwa chini usiguse kisahani
 
akipona mwambie abadilisha sabubi ya kupigia puli,pengine ugonjwa umehamia kwenye soap siku hizi
 
Muwafundishe teenage sex sio vagnal tu
Hata anal na oral unapata maambukizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…