Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukoje huu ugonjwa?Ngoja wataalam waje,.halafu kuna magonjwa nikajua yashakufa kumbe bado yapo yapo,.
www.medicalnewstoday.com
Habari yako.
Naamini mpaka kufikia hatua ya kutambua ugonjwa alionao mdogo wako mtakua tayari mmeshafika hospitali. Nadhani ingalikua vema haya maswali ungepata majibu hapo hospitali mlipoenda.
Ila kwa upande mwingine asante kwa kulisema hili hapa jukwaani ili na wengine wajifunze.
Ahsante
Hata sijui Kwakweli,.nilikuwa nauona kwenye vitabu pamoja na pangusa sijui kisonono mwe!!!nikajua yalishakufaga kitambo kabaki mzee baba tuu.Hivi ukoje huu ugonjwa?
Hata sijui Kwakweli,.nilikuwa nauona kwenye vitabu pamoja na pangusa sijui kisonono mwe!!!nikajua yalishakufaga kitambo kabaki mzee baba tuu.
Jamaa hafii wala hazeeki,.dahh!!![emoji23][emoji1787][emoji1787] kabaki mzee baba tuu.
Unaambukizwa pia kwa kutumia hata taulo alilojifutia mwenye Gono sehemu zake za siri.
Angalia watu anaoshea nao nguo,mataulo nk..kama anasoma boarding ndo kabisa
Watu wenye gono wanatoa vitu kama usaha unatoa harufu mbaya..ule usaha ukikugusa wewe unalo.
Au katoka kuoga kachukua taulo lako kajifuta kaliacha,we bila kujua nawe unaenda kuoga unajifuta nalo hasa kwenye sehemu za siri unaupata.
Hahaha. But anakwepekaJamaa hafii wala hazeeki,.dahh!!!
Oh yeah😅japo kagota patamm😋Hahaha. But anakwepeka
Utamu mkipeana kistalabu, kiutu uzima wala hamuwezi kuambukizana. Ndiyo maana maambukizi yanaongezeka kwa watoto. Kula utamu usiogope [emoji39][emoji39][emoji39]Oh yeah[emoji28]japo kagota patamm[emoji39]