PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Unataka msaada wa aina gani bossMsaada kwa anayejua wakuu
Soma thread hapo juu mkuuUnataka msaada wa aina gani boss
Mkuu nashukuru sana kwa msaada wako, be blessedKwanza mshushe chini mtandikie kitambaa kizito kama alikua kitandani
Ondoa vitu vyote unahisi vinaeza kumdhuru kumzunguka kama jiko la moto vitu vyenye ncha kali n.k...
Vyema sana,Kwanza mshushe chini mtandikie kitambaa kizito kama alikua kitandani
Ondoa vitu vyote unahisi vinaeza kumdhuru kumzunguka kama jiko la moto vitu vyenye ncha kali n.k...
Samahan naomba unisaidie alitibiwa kwa dawa gani maana mdogo wangu anateseka sanaHabari Wadau,
Leo asubuhi nimejikuta katika wakati mgumu pengine kuliko siku yoyote ile,Nilikuwa nimekaa na mtoto wangu akawa ananiambia baba macho yanauma,mara kichwa kinaniuma nikamgusa akawa amechemka sana mwili,nikamwambia tulia nikupeleke hospitali..
Ngoja tusubili wajuzi wajeNdugu yangu amezaliwa na kifafa,anaweza kupona?
ama nn dawa take?
Kwa utaalamu na ujuzi wa Tiba uliopo sasa, hauwezi kutibu moja kwa moja ugonjwa wa Kifafa ila unaweza kuratibu (management) athari za huu ugonjwa kwa muhusika.Ndugu yangu amezaliwa na kifafa,anaweza kupona?
ama nn dawa take?