Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu Azimio Jipya Kiharusi ni neno la kiswahili kwa kiingereza maana yake ni Stroke mkuu nenda katafute dictionary ya Kiingereza kwa kiswahili utapata maana ya neno la Kiingereza Stroke kwa lugha yetu ya kiswahili ni kiharusi.Umeleta maana ya ya ugonjwa wa (stroke) Sio kiharusi na Tiba ya huo ugonjwa wa Kiharusi ni ngumu kutibika .
MziziMkavu,
Kama nimekupata vizuri ni kuwa kuna tofauti ya KIHARUSI na STROKE Please?
Mkuu Azimio Jipya Nipo unasemaje?Mzimzi mkali where are you!!
Chukuwa tu hakuna shida.MziziMkavu samahani naomba hizi notisi kama zilivyo.
Habari zenu wakuu,
Nina mama yangu amepata strock. Hapo awali alikuwa akisumbuliwa na presha kwa muda mrefu. Kwenye mnamo mwezi wa nne wa mwaka jana ghafla tu aliamka asubuhi vidole vya mkono wa kulia vikawa vigumu kukunjika. Siku tatu baadaye hali ikazidi kubadilika kwani mkono pamoja na mguu wa kulia vyote vikawa havifanyi kazi kabisa. Siku kama mbili baadaye akazidiwa usiku. Tukaamua tumpeleke hospitali ambako madaktari eti wakasema ana malaria wadudu sita. Ndugu walio kijijini wakamtaka mgonjwa ili wakamtibie wao huku wakisema eti ugonjwa siyo wa hospital inatakiwa atibiwe kwa miti shamba na siyo sindano.
Kweli mgonjwa tukampeleka kijijini. Alikaa huko kuanzia mwezi wa nne hadi wa wa kumi na moja ndo akarudi Dar. Hali yake kidogo ilikuwa nzuri kwani anaweza kutembea japo siyo kama zamani ( anatembea ule mwendo wa kupapalalazi ). Anajitahidi kukimbia japo siyo kwa urahisi. Ulimi haujampinda. Anaongea vizuri tu japo zamani kabla hajaenda kijijini kuna wakati ulianza kumpinda.
Sasa tatizo liko hapa, ndiyo bado anaendelea kutumia dawa za mitishamba hdai sasa, lakini mara nyingi kichwa na presha huwa vinamsumbua sana. Kuna siku anakuwa fresh tu, ila kuna siku anasumbuliwa na kichwa na siku nyingine presha. Lakini pia kubwa zaidi ni GANZI kwenye miguu. Miguu yake huwa inashika ganzi hadi anahisi kama inachomachoma.
Ndugu zangu, kwa mwenye kujua chochote ambacho kitaweza kumsaidia mama yangu naomba anisaidie. Kama unajua dawa nitakushukuru sana. Au kama una wazo lolote liweke huru. Jamani mama yangu anateseka.
Huyu Mama Ana Chronic Hypertension With Neuropathy!!!! Naomba nilaani kitendo chenu cha kukimbilia miti shamba tena kwa miez 7 hii ime worsen situation.
Huyu Mama anatakiwa apigwe dose za PRESHA, anatakiwa apate dawa za Preshaa ilishushwe na iwe sawa siku zote, pia anatakiwa apate dawa za mishipa kuua ganzi, pia Afanye CT scan!
apate DAWA ZA PRESHA, APATE NEUROBION, NA JUNIOR ASPIRIN atapona, Pia apime na sukari
Presha, Stroke au Kiharusi n.k kwa ujumla wake yanajulikana kitaalamu kama Noncommunicable Diseases NCD, ni magonjwa ya mfumo, WHO wanasema yanaongoza kwa vifo duniani kwa asilimia 65, lakini yanaepukika na kutibika kwa kuanza kurekebisha mfumo ulioathirika.
Noncommunicable diseases (NCDs), such as heart disease, stroke, cancer, chronic respiratory diseases and diabetes, are the leading cause of mortality in the world.
This invisible epidemic is an under-appreciated cause of poverty and hinders the economic development of many countries.
The burden is growing - the number of people, families and communities afflicted is increasing. Common, modifiable risk factors underlie the major NCDs. They include tobacco, harmful use of alcohol, unhealthy diet, insufficient physical activity, overweight/obesity, raised blood pressure, raised blood sugar and raised cholesterol.The NCD threat can be overcome using existing knowledge. The solutions are highly cost-effective. Comprehensive and integrated action at country level, led by governments, is the means to achieve success
FUATILIA LINK HII kwa taarifa zaidi au tuwasiliane 0784475576 ili upate mbinu zaidi na jinsi ya kurekebisha mfumo ulioathirika.
Thanks.
Pole sana Wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu Address hii hapa fewgoodman@hotmail.com ninaweza kumtibu na akapona kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu.Habari zenu wakuu,
Nina mama yangu amepata strock. Hapo awali alikuwa akisumbuliwa na presha kwa muda mrefu. Kwenye mnamo mwezi wa nne wa mwaka jana ghafla tu aliamka asubuhi vidole vya mkono wa kulia vikawa vigumu kukunjika. Siku tatu baadaye hali ikazidi kubadilika kwani mkono pamoja na mguu wa kulia vyote vikawa havifanyi kazi kabisa. Siku kama mbili baadaye akazidiwa usiku. Tukaamua tumpeleke hospitali ambako madaktari eti wakasema ana malaria wadudu sita. Ndugu walio kijijini wakamtaka mgonjwa ili wakamtibie wao huku wakisema eti ugonjwa siyo wa hospital inatakiwa atibiwe kwa miti shamba na siyo sindano.
Kweli mgonjwa tukampeleka kijijini. Alikaa huko kuanzia mwezi wa nne hadi wa wa kumi na moja ndo akarudi Dar. Hali yake kidogo ilikuwa nzuri kwani anaweza kutembea japo siyo kama zamani ( anatembea ule mwendo wa kupapalalazi ). Anajitahidi kukimbia japo siyo kwa urahisi. Ulimi haujampinda. Anaongea vizuri tu japo zamani kabla hajaenda kijijini kuna wakati ulianza kumpinda.
Sasa tatizo liko hapa, ndiyo bado anaendelea kutumia dawa za mitishamba hdai sasa, lakini mara nyingi kichwa na presha huwa vinamsumbua sana. Kuna siku anakuwa fresh tu, ila kuna siku anasumbuliwa na kichwa na siku nyingine presha. Lakini pia kubwa zaidi ni GANZI kwenye miguu. Miguu yake huwa inashika ganzi hadi anahisi kama inachomachoma.
Ndugu zangu, kwa mwenye kujua chochote ambacho kitaweza kumsaidia mama yangu naomba anisaidie. Kama unajua dawa nitakushukuru sana. Au kama una wazo lolote liweke huru. Jamani mama yangu anateseka.
Mimi ninakusaidia kuhusuHabari zenu wakuu,

Mimi ninakusaidia kuhusu
hiyo miguu kufa Ganzi kamnunulie mama yako Dawa ya Vidonge inayoitwa
kwa jina hili (Vitamin B12) itamsaidia kutibu hiyo ganzi miguuni mwake na pia ukikosa hiyo (Vitamin B12) waweza pia kununuwa Dawa hii hapa (Neurobion Tablets) pia ni dawa ya kutibu Ganzi ya miguu pia mpeleke akapime Ugonjwa wa
kisukari Hospitalini. Na awe anapenda kunywa sana Maji ya Uvuguvugu kila siku kwa wingi sana. Je hiyo Presha yake
mam ni ya kupanda au Presha ya kushuka?