naomba namba zako, ni pm kwa 0789554955Nipm mkuu nikupe maelekezo mini cha kufanya..
Nina wasi wasi na hiyo tiba yako!
Mnapatikana mkoa gan
DR.Habari wapendwa,
Napenda kuwapa habari kuwa sisi tunatoa matibabu ya stroke kwa wenye matatizo hayo, kwa mawasiliano zaidi wasiliana na mimi kwa 0654158574/ 0765353056.
DR.
Ahsante kwa tangazo lenu.. Sasa suali:- Jee aliyesibika na stroke/kupoza asitumie dawa za hospitali ? hadi tiba zenu zimfikie??
Tafadhali jibu la wazi:-