Afanaaaleki!!
ni ugonjwa wa upungufu wa madini, MziziMkavu pita hapa utusaidie
UPARA SABABU YA MARADHI YA MOYO?
Nahitaji kujua ugonjwa huu wa kipara unatokana na nini maana naogopa usije nipata hapo baada
CHANZO NA TIBA ASILIA YA TATIZO LA UPARAna dawa yake ni ipi haswa ? MziziMkavu
Kwa hiyo upara ni ongezeko la uso?!Ni mgawanyo wa majukumu tu. Unapunguza sehemu ya kuchana nywele ila unaongeza sehemu za kunawa uso