Afanaaaleki!!
hahahahaha...neno la zamani sana...mbavu zangu zmetanuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afanaaaleki!!
ni ugonjwa wa upungufu wa madini, MziziMkavu pita hapa utusaidie
UPARA SABABU YA MARADHI YA MOYO?![]()
Nahitaji kujua ugonjwa huu wa kipara unatokana na nini maana naogopa usije nipata hapo baada
CHANZO NA TIBA ASILIA YA TATIZO LA UPARAna dawa yake ni ipi haswa ? MziziMkavu
Kwa hiyo upara ni ongezeko la uso?!Ni mgawanyo wa majukumu tu. Unapunguza sehemu ya kuchana nywele ila unaongeza sehemu za kunawa uso