Pole sana... Inamaana mama na baba yako waliona wakati familia zote mbili zina historia hiyo au hawakujua? Binafsi sina cha kusaidia naona unavyomtesa mama yangu na kwakuwa hakuna dawa basi tukazane na sala hakuna linaloshindikana kwa Mungu.
tatizo ni pale mtu anapoambiwa ana kisukari halafu bado hataki kuacha mazoea ya vitu vinavyomdhoofisha mfano pombe, sigara, na hafuati kanuni za ulaji... poleni wakuu
Kisukari kina tiba na dawa zake... Kama u dont take seriously hapo ndio inakua tatizo.. Lakini ukipata dawa sahihi nakufuata masharti yake unaweza kuishi miaka mingi bila matatizo yoyote.. Ushauri wangu wapeleke wazazi clinic ya kisukari ili wapate dawa itakae wasaidia kuendana na stage ya kisukari walokua nnao.. Kuna vidonge but more advance medicine kuna sindano za insulin
Babu alifarik kwa kisukar, hvsasa Baba mkubwa, baba mzaz, na Mama mzaz yan wote wanakisukar.
Ivi kuna uhusiano gan kati ya group "O" na ugonjwa wakisukar maana hawa ndugu wote wanagroup "O" la damu!
Wadau naomba msaada wa hili jambo?
Mhh poleni sana,wauguliwa si mzizi mkavu anatibu kila kitu isipokuwa uzee na kifo..pole sana.mie najinea gauti inavyoumiza mama wakubwa... Na preshaa!!! Dooooh. Lord save them.