Ugonjwa wa kisukari na group O la damu kuna uhusiano gani?

Ugonjwa wa kisukari na group O la damu kuna uhusiano gani?

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
830
Reaction score
1,046
Babu alifariki kwa kisukari, hivi sasa Baba mkubwa, baba mzazi, na Mama mzazi yan wote wanakisukari.

Hivi kuna uhusiano gani kati ya group "O" na ugonjwa wakisukari maana hawa ndugu wote wanagroup "O" la damu!

Wadau naomba msaada wa hili jambo?
 
Pole sana... Inamaana mama na baba yako waliona wakati familia zote mbili zina historia hiyo au hawakujua? Binafsi sina cha kusaidia naona unavyomtesa mama yangu na kwakuwa hakuna dawa basi tukazane na sala hakuna linaloshindikana kwa Mungu.
 
Kisukari! Kimemuua mama yangu basi tu Mungu mwenyewe anajua!
 
tatizo ni pale mtu anapoambiwa ana kisukari halafu bado hataki kuacha mazoea ya vitu vinavyomdhoofisha mfano pombe, sigara, na hafuati kanuni za ulaji... poleni wakuu
 
Kisukari kina tiba na dawa zake... Kama u dont take seriously hapo ndio inakua tatizo.. Lakini ukipata dawa sahihi nakufuata masharti yake unaweza kuishi miaka mingi bila matatizo yoyote.. Ushauri wangu wapeleke wazazi clinic ya kisukari ili wapate dawa itakae wasaidia kuendana na stage ya kisukari walokua nnao.. Kuna vidonge but more advance medicine kuna sindano za insulin
 
Babu alifarik kwa kisukar, hvsasa Baba mkubwa, baba mzaz, na Mama mzaz yan wote wanakisukar.
Ivi kuna uhusiano gan kati ya group "O" na ugonjwa wakisukar maana hawa ndugu wote wanagroup "O" la damu!
Wadau naomba msaada wa hili jambo?

Ebu ntafute kwa 0755549753 nkuunganishe na mtu mwenye dawa ya kisukari
 
Mhh poleni sana,wauguliwa si mzizi mkavu anatibu kila kitu isipokuwa uzee na kifo..pole sana.mie najinea gauti inavyoumiza mama wakubwa... Na preshaa!!! Dooooh. Lord save them.
 
Back
Top Bottom