Ugonjwa wa kubabuka ngozi

Ugonjwa wa kubabuka ngozi

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,658
Reaction score
8,994
Wakuu habari nina shida mwanangu ana tatizo hilo ngozi inababuka inakuwa kama inaweka magamba yakitoka yote anakuwa poa then baada ya muda tena hiyo hali inajirudia hii inamtokea hasa mgongoni tumeenda hospital lakini tatizo lipo pale pale naombeni msaada wa mawazo,tiba nk
 
Pole
 
Hospitali uliyoenda rudi uwaambie wa ku refer kwa specialist wa ngozi.
 
Back
Top Bottom