mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,658
- 8,994
Wakuu habari nina shida mwanangu ana tatizo hilo ngozi inababuka inakuwa kama inaweka magamba yakitoka yote anakuwa poa then baada ya muda tena hiyo hali inajirudia hii inamtokea hasa mgongoni tumeenda hospital lakini tatizo lipo pale pale naombeni msaada wa mawazo,tiba nk