Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Nenda mombasa utapata dawa.Ugonjwa wa kujamba naombeni dawa
Nimecheka sana mkuu, hii coment ni hatar[emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni raha kama raha zingine, Jiachie mkuu. Hasa upate kitu soundless halafu uko peke yako unakinusa huku unasikilizia harufu yake..... ama upate kitu kinatoa pop sound unakipiga kama unalipua maguruneti kule Iran ama Congo
Kujamba kupita kiasi ni matokeo ya kula vyakula visivyosagika vizuri, kunywa sana fizzy drinks, jutafuna sana chewing gumUgonjwa wa kujamba naombeni dawa
Low thinking capacityTatizo inategemea na umekula nn kama umekula mlenda na ugali ukijamba ujue kbs umekunya
Daa nimecheka sana.Hii ni raha kama raha zingine, Jiachie mkuu. Hasa upate kitu soundless halafu uko peke yako unakinusa huku unasikilizia harufu yake..... ama upate kitu kinatoa pop sound unakipiga kama unalipua maguruneti kule Iran ama Congo
Hahaaa Raha ya hii kitu ni kujiachia mkuuDaa nimecheka sana.