Ugonjwa wa kujamba

Ugonjwa wa kujamba

Hii ni raha kama raha zingine, Jiachie mkuu. Hasa upate kitu soundless halafu uko peke yako unakinusa huku unasikilizia harufu yake..... ama upate kitu kinatoa pop sound unakipiga kama unalipua maguruneti kule Iran ama Congo
 
Ziba tundu lako na ukianza kujamba hivyo ujue umeoza kati ya Bandama au utumbo mkubwa.

Muda si mrefu utakufa.
 
Pakistani kuna mtu alinyongwa kwa kujamba msikitini, kwa hiyo kama ni Islam, inabidi ujifunze pia kujibana, wakati unasimama, na kuinama
 
Hii ni raha kama raha zingine, Jiachie mkuu. Hasa upate kitu soundless halafu uko peke yako unakinusa huku unasikilizia harufu yake..... ama upate kitu kinatoa pop sound unakipiga kama unalipua maguruneti kule Iran ama Congo
Nimecheka sana mkuu, hii coment ni hatar[emoji23][emoji23][emoji23]
 
ngoja niweke kambi kwenye huu uzi nsipocheka sijuii.. mkuu hebu weka soundclip hapa tujue ukubwa wa tatizo lako
 
Hii ni raha kama raha zingine, Jiachie mkuu. Hasa upate kitu soundless halafu uko peke yako unakinusa huku unasikilizia harufu yake..... ama upate kitu kinatoa pop sound unakipiga kama unalipua maguruneti kule Iran ama Congo
Daa nimecheka sana.
 
Piga mzigo tu kwani Mungu kaweka kama kupunguza gas tumboni. Ila upunguze vyakula aina ya protein mf. Mayai kwani utaozesha pua za watu
 
Back
Top Bottom