Ugonjwa wa kujikuna wa hivi karibuni usio wa kawaida je umekupata?

Mafuta ya kupikia huwa yaneleta sana hiyo changamoto hasa haya ambayo sio pure alizeti.Anza kwa kubadili mafuta ya kupikia alaf kama tatizo likizidi umuone doctor
 
Ni kweli. Upele na kujikuna ni tatizo linawakumba wengi kipindi hiki cha covid

Kwa uzoefu wangu upele huja wakati homa ya covid ikiwa inaishia
View attachment 1873313
Hii shida kweli ilinipata sio siri..
Mimi niko arusha nikajua mafuta niliyonunua lbd yameexpr.nikanunua mengine wapi kuwashwa iko palepale ila sipati vipele.
Nikaona hapana nikaanza kukagua kitandani kwenye magodoro labda kunguni maana nilisafiri sehemu maporini huko labda nimewapata.holaaaa hakuna kitu!!
Ila siwashwi tena kwa sasahivi
 
Kuna mama hapa mtaani alijikuta hadi akawa mwekundu
 
Hii ya kuwashwa na kutotoka vipele hata mimi ilinikuta

Nimekaa nayo kama wiki mbili na kidogo hivi.
 
Mkuu bora useme wewe mimi jina langu linaniponza, Mmea unaondoa matatizo mengi mwilini👍
 
Arusha panawasha baada ya baridi likipiga jua,niliteseka sana.
 
Kitu hicho mkuu.....Fanya mazoezi,kula vitu vyenye vitamin c kwa wingi,tangawizi etc
 
Hiyo hali ya kupoteza hali ya kunusa ilinipata na ilinichukua takribani wiki mbili kukaa sawa...

Kumbe nilikuwa naenda kufa najiona...
Kama wewe sio mzee sana na hauna matatizo makubwa ya kiafya huwezi kufa.
Huu ugonjwa ni maalum kwa wenye magonjwa mengine makubwa au wazee
 
Nenda duka la dawa nunua dawa inaitwa Azuma ile yenye mg 500 pata dozi, tatizo litaisha, mimi mwenyewe nimehangaika sana lakini baada ya kutumia hiyo dawa nimepona kabisa
 
Mie pia nina week sasa najikuna...nikadhani labdq ni maji
 
mimi umenipata sasa ni mwezi wa sita sasa, hakuna dawa
CHUMA majani ya MUAROBAINI twanga yatie maji kakoge ikiwa bado pakaa Alovera.UNAPO KOSHA AU KUKOGA USIVITUMBUE AU KUVISUGUA VIPELE HIVYO
 
Hiyo ni Scabies
Kutokana na parasites Sarcoptes scabiei

Nothing serious
Treatment
Lindane lotion apply mara moja tu
au BBE Lotion apply mara mbili Kwa wiki
Plus
Ivermectin 12mg mara moja unaweza kurudia baada ya wiki mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…