Jamani ndugu zangu ugonjwa huo ni scabies. Nina mdogo wangu alikuja nao ukamsumbua kuenda Agha Khan akapata dawa haraka.
Inavosemekana kuna outbreak ya scabies nchini. Lakini nashindwa kuelewa kwanini wizara haifatilii na kuelimisha watu vizuri.
Ugonjwa huu inaambukizwa kwa kugusana tu.
Dawa yake ni Scaboma cream, au Benzyl benzoate lotion. Unapaka mara moja tu na inabidi ufue nguo zote Yani usafi full kwa mavazi yako, mito, godoro makochi kuua mayai ya awa vijidudu
Poleni ndugu zangu