Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
huo si ugonjwa nadhani inabidi utazame lishe unayowapa kuku wako, ikiwa mitetea haiwezi kutaga.Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa maguta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa.
Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea.
Mwenye kujua tiba yake nahitaji kujulishwa tafadhali.
Ni ufugaji huria hawapewi lishehuo si ugonjwa nadhani inabidi utazame lishe unayowapa kuku wako, ikiwa mitetea haiwezi kutaga.
vet ni nani mkuu! Daktari wa mifugo?Muiteni vet hapo aje awape huduma.
daktari wa mifugovet ni nani mkuu! Daktari wa mifugo?
muite daktari wa mifugo.Ni ufugaji huria hawapewi lishe
Unakoishi wapi huko? Na hiyo huruma umeshafuatilia ukakuta wanakula chakula cha aina gani? Maana huko nje nako kuna vyakula vingi tu wanaweza kuongeza uzito kupita kiasi! Sasa wewe ukute wanakumbana na kumbi kumbi kwa wingi unafikri protein yake ni ya kitoto hiyo?Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa.
Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea.
Mwenye kujua tiba yake nahitaji kujulishwa tafadhali.
Hao Kuku hawafugwi kibiashara, pia ninapoishi kumpata huyo daktari ni mjini na ni mbali kidogo, pia mimi sio mfugaji bali nyumbani kwa mzee ndiyo wanafugwa, japo huo ugonjwa ni wa karibia kata nzima, nitawashauri kumwita daktari japo najua hawatomwita. kama kungekuwa na tiba ambayo naweza kuifanya au kuinunua ingekuwa ni poa zaidi.muite daktari wa mifugo.
Mtwara mkuu, kata ninayoishi yote kuku wanapatwa na hii hali, kwa mzee haipoti siku tatu kabla hatujachinja, wengine tunakuta tayari washakufa. sijawahi kufuatilia kwamba shida ni nini.Unakoishi wapi huko? Na hiyo huruma umeshafuatilia ukakuta wanakula chakula cha aina gani? Maana huko nje nako kuna vyakula vingi tu wanaweza kuongeza uzito kupita kiasi! Sasa wewe ukute wanakumbana na kumbi kumbi kwa wingi unafikri protein yake ni ya kitoto hiyo?
mkuu nilikuomba mawasiliano pm kama hutojaliMkuu huu ugonjwa ni mpya kwangu.
Hapo ni chakula nasio kwamba wanakufa kwa sababu ya wingi wa mafuta bali wanugua magonjwa mengine tu jaribu kufuatilia.....
Cha kufanya kama unafuga huria wafungie au iwe nusu huria kisha wape pumba na maji tu tena kwa kiwango kidogo sana kwa wiki tu
Nitumie no yako pmmkuu nilikuomba mawasiliano pm kama hutojali
Ni muda mkuu, ulipuputisha kuku wengi huu ugonjwa, kwa sasa umepotea.Weka picha ya hilo futa mkuu tujae mate mdomoni,itakuwa vizuri kama litakuwa linakarangizwa.
Keshokutwa tunakuja wanaJF kukutembelea.Asante kwa muongozo mkuu, nitawashauri hovyo pia, maana siwafugi mwenyewe bali ni nyumbani muda mchache tu nyuma nimechinja mmoja.
View attachment 3291111
Mkuu Nikifa MkeWangu Asiolewe nilitaka kukureply nimekosea kuandika chini ya post yako.
Keshokutwa tunakuja wanaJF kukutembelea.
Utuchinjie kuku wengi basi
Asante sanaππππ karibuni wakuu.