Tuna
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 1,823
- 2,476
Dah,pole sana mkuuNi muda mkuu, ulipuputisha kuku wengi huu ugonjwa, kwa sasa umepotea.
Dah,pole sana mkuuNi muda mkuu, ulipuputisha kuku wengi huu ugonjwa, kwa sasa umepotea.
Pamoja kiongozi.Dah,pole sana mkuu
Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa.
Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea.
Mwenye kujua tiba yake nahitaji kujulishwa tafadhali.
Asante mkuu, ni wazee ndiyo walikuwa wanafuga lakini ilishapita hiyo hali.Huo sio ugonjwa fanya hivi weka angalau debe 1 ya pumba laini ya mchele kwenye mchanganyiko wa kilo hata 50