Tuna JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 1,823 Reaction score 2,476 Aug 28, 2025 #21 Muimba SINGELI said: Ni muda mkuu, ulipuputisha kuku wengi huu ugonjwa, kwa sasa umepotea. Click to expand... Dah,pole sana mkuu
Muimba SINGELI said: Ni muda mkuu, ulipuputisha kuku wengi huu ugonjwa, kwa sasa umepotea. Click to expand... Dah,pole sana mkuu
Muimba SINGELI JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 4,211 Reaction score 10,864 Aug 28, 2025 Thread starter #22 Tuna said: Dah,pole sana mkuu Click to expand... Pamoja kiongozi.
M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,913 Reaction score 2,662 Aug 29, 2025 #23 Huo sio ugonjwa fanya hivi weka angalau debe 1 ya pumba laini ya mchele kwenye mchanganyiko wa kilo hata 50 Muimba SINGELI said: Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa. Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea. Mwenye kujua tiba yake nahitaji kujulishwa tafadhali. Click to expand...
Huo sio ugonjwa fanya hivi weka angalau debe 1 ya pumba laini ya mchele kwenye mchanganyiko wa kilo hata 50 Muimba SINGELI said: Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa. Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea. Mwenye kujua tiba yake nahitaji kujulishwa tafadhali. Click to expand...
Muimba SINGELI JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 4,211 Reaction score 10,864 Aug 29, 2025 Thread starter #24 Magezi bugaga said: Huo sio ugonjwa fanya hivi weka angalau debe 1 ya pumba laini ya mchele kwenye mchanganyiko wa kilo hata 50 Click to expand... Asante mkuu, ni wazee ndiyo walikuwa wanafuga lakini ilishapita hiyo hali.
Magezi bugaga said: Huo sio ugonjwa fanya hivi weka angalau debe 1 ya pumba laini ya mchele kwenye mchanganyiko wa kilo hata 50 Click to expand... Asante mkuu, ni wazee ndiyo walikuwa wanafuga lakini ilishapita hiyo hali.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 29, 2025 #25 Pole sana... Cc: Mahondaw