Ngamba U mgeni kwenye ufugaji wa kuku?? Kama ni mgeni jaribu kusoma majarida mbalimbali juu ya magonjwa makubwa ya kuku...
Dalili za kuku wako ni Ugonjwa wa COCCIDIOSIS (Kuhara damu)...
Tumia Amprolium km mdau alivyoshauri hapo juu...
NB; Hakikisha maranda/malalo ni makavu,fuga kuku kwenye sakafu,vyombo vya maji/chakula viwe juu kiasi cha kutokuchafuliwa na kinyesi..Kama kuna kuku aliyekufa mpeleke kwa mtaalamu akamchunguze....
PATA USHAURI WA DAKTARI...