Ugonjwa wa kuku????

Ugonjwa wa kuku????

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
750
Reaction score
151
Naombeni msaada
Nimeona kinyesi cha kuku kwenye banda langu la kuku kinyesi chenye kama vile alama ya damu, sijui ni ugonjwa ama ni just lishe
 
Wananunulie dawa inaitwa amprolium...pia kitunguu swaumu robo weka kwenye maji ya Lita moja Wape wanywe..ni Hatari Uo ugonjwa
 
Asante, nitapita drup shop ninunue hio dawa na nitaweka na hivyo vingine unavyosema
 
Naombeni msaada
Nimeona kinyesi cha kuku kwenye banda langu la kuku kinyesi chenye kama vile alama ya damu, sijui ni ugonjwa ama ni just lishe

Ngamba U mgeni kwenye ufugaji wa kuku?? Kama ni mgeni jaribu kusoma majarida mbalimbali juu ya magonjwa makubwa ya kuku...
Dalili za kuku wako ni Ugonjwa wa COCCIDIOSIS (Kuhara damu)...
Tumia Amprolium km mdau alivyoshauri hapo juu...
NB; Hakikisha maranda/malalo ni makavu,fuga kuku kwenye sakafu,vyombo vya maji/chakula viwe juu kiasi cha kutokuchafuliwa na kinyesi..Kama kuna kuku aliyekufa mpeleke kwa mtaalamu akamchunguze....
PATA USHAURI WA DAKTARI...
 
thanks, hii ni mala yangu ya kwanza kwenye ufuganji so vitu vingi ni vigeni kwangu, but niko tayali kupambana navyo na kupata usoefu wa kutosha
 
Asante sana, maana nahitaji msaada wote ninaoweza pata

naenda anza wapatia kitunguu swaumu robo kwenye maji mala moja kwa week kama kinga

Swali, je alovera nayoo yaweza kusaidia? kama nikiwawekea kwenye maji???
 
utakua unamwaga maji kwenye banda itakua

naomba umalizie huo usemi wako ili nielewe kiunaganaga issue unayosema, na kama nimekuelewa vizuri simwagi maji ndani ya banda
 
Back
Top Bottom