Habari ndugu,
Wife wangu anatatizo la kupenda kulala lala anadai anachokachoka. anaweza lala saa 2 usiku na akaamka saa 1 then saa 4 mpaka saa 6 mchana. akila lunch tena analala hata 30minutes. yaani ni mchovu chovu tu why?
Najiuliza, Je ni aina ya vyakula? au ni kawaida/kipindi tu? But si mimba maana anaenda circle kama kawaida, madaktari leteni ufumbuzi maana nataka nimpeleke achekiwe afya huyu ubavu wangu.
Ahsanteni.