Ugonjwa wa kulala lala kila wakati--tatizo nini???

Ugonjwa wa kulala lala kila wakati--tatizo nini???

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
713
Habari ndugu,

Wife wangu anatatizo la kupenda kulala lala anadai anachokachoka. anaweza lala saa 2 usiku na akaamka saa 1 then saa 4 mpaka saa 6 mchana. akila lunch tena analala hata 30minutes. yaani ni mchovu chovu tu why?

Najiuliza, Je ni aina ya vyakula? au ni kawaida/kipindi tu? But si mimba maana anaenda circle kama kawaida, madaktari leteni ufumbuzi maana nataka nimpeleke achekiwe afya huyu ubavu wangu.

Ahsanteni.
 
Unavyomchosha usiku kucha unategemea nini mkuu? Mwache apumzike mchana bana
 
Back
Top Bottom