Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Hiki kiti kinaniudhi na bahati mbaya zaidi naamini kila mwanamke anacho.....

ni huu ugonjwa wa kununa na kususa kwa jambo doogo.....

mtu unaweza kununiwa hata mwezi mzima,mpaka ukahisi
labda love ishakufa na sasa ufanye 'maamuzi' mengine.....kumbe makusudi tu

unakuja kumuuliza utasikia 'ahhh unajua siku ile iuliniita mjinga uliniuudhi sana'...

na hapo anaezungumza hivyo sio mtoto mdogo ni mama wa watoto na wajukuu...

swali ninaouliza hapa hivi kuna wanawake ambao hawanuni wala kususa?

na why mwanamke hata awe above 50 na wajukuu na phd juu
bado still huu ugonjwa wa kununa nuna na kususa hawaauachi????

tena mara nyingi mwanaume unakuwa hujui haswaa umenuniwa kwa sababu gani...

si ajabu ukiuuliza unaambiwa 'aah hamna kitu',while mtu hayuko sawa...

kwa nini wanawake wako hivi????
 
Mpaka ususiwe mwezi kwa kosa dogo sana jua kwamba mawasiliano yenu ni hasi sana. Either wewe hujui namna ya kumwingia au yeye haingiliki, na hapa naongelea mawasiliano asije mtu akaleta ujuaji.

Nwy binafsi sitaki kusema hua sinuni au sisusi kwasababu definition yango na yako zinaweza zikawa zinatofautina ila mimi naona hua nakasirika. Na nikikasirika naweza nikabadilika, nikawa sifurahii kuwa karibu na huyo aliyenikasirisha. Ila hua sivungi kumpa mtu live kwamba umeniboa A,B na C. .
 

wapo watu wananuna mwezi na wanaishi ndani pamoja
mwendo ni majibu ya short short tu,mbaya zaidi mwanaume anakuwa hajui
haswaa kuna nini......
sasa ili mawasiliano yawepo si lazima mtu 'aongee' na sio 'kununa'?
mtu akinuna si ndo amevunja mawasiliano???????
 
mie bana nasemga drama ipo kwenye dna ya dada zetu sasa solution nikiwa mpole na kukubali tuu hivyo wee jishushe bana kama wampenda kuna tatizo gani...ndio mapenzi hayo.
 
mie bana nasemga drama ipo kwenye dna ya dada zetu sasa solution nikiwa mpole na kukubali tuu hivyo wee jishushe bana kama wampenda kuna tatizo gani...ndio mapenzi hayo.

ishu sio kujishusha
ishu mtu kanuna hujui kanuna kwa nini
na hataki kuzungumza
na huyo mtu sio mtoto mdogo
 

Kama nilivyosema Boss, kuna watu wasiojua namna ya kuwaingia wenzi wao na kutafuta chimbuko la tatizo, na kuna wagumu ambao inabidi utafute mbinu ya kuwaingia. Na hili sio kwa wanawake pekee ila hata kwa wanaume.

Ukimsoma mtu wako vizuri na ukatafuta mbinu ya kudeal nae kwenye haya mambo minuno itakua haipitilizi masaa 24, na ikizidi sana masaa 48.
 
mie bana nasemga drama ipo kwenye dna ya dada zetu sasa solution nikiwa mpole na kukubali tuu hivyo wee jishushe bana kama wampenda kuna tatizo gani...ndio mapenzi hayo.
Kujishusha sio solution. . .angalau mimi sioni hivyo anyway. Napenda mtu akinikosea hata kama ni kwa kitu kidogo aelewe kwamba amenikosea na kwanini hicho kidogo chake ni kikubwa kwangu, na akiniomba samahani aniombe kwasababu amenielewa na sio kwasababu "anakubali yaishe".
 

people are funny...........
 
Saanyengine sio kama tuna nuna bure ila wanaume wengine wanafanya jambo kusudi au anajua kama kitu hiko mke/mchumba hapendi anakifanya halafu anajikausha,ss unasikia dhiki kusema neno moja kila mara ss unaona bora ukaekimnya,ss kimnya ndio kinachowashughulisha nyie....
 
unarudia kosa 1 miaka nenda rudi then usinuniwe we nan?
mtu mpk kanuna ujue kakwambia kile atak we wafanya ttu so anaona ahhh yanini nimwambie wakat anafanya makusudically?
mi sinuni UKINIUZI NAKWAMBIA LALA APO NIKUTIE ZA CHEMBE THEN HASIRA GONE THEN .....as nimetumia chapter6 ya UN NIKAONA AIFANYI KAZI SO 6 DAWA NAENDA KWENYE CHAPTER 8...NGUVU TU ZITATUMIAKA AS DIPLOMATICALLY THE PBM IMESHINDIKANA....


nOTE;
MTU AWAEZ NUNA BILA SABABU...ni bora ukajichek umemnunisha nini b4 aujasema anapenda kununa....😛hoto:
 
na siku ukikosa wewe huwa unaomba msamaha au una unavimba tu undava undava,kama noma na iwe noma?
 
s
asa atakuomba vipi msamaha na wewe umenuna na hutaki kusema
tatizo ni nini?
 
mmmmmmhhh atakayekuoa analo aisee!
 


kwa hiyo ni makusudi kuwa nikinuna ndo namkomoa???
 
hebu acha kufinya jicho hilo na badala yake muulize The Boss vipi umenuniwa? maana naona kamwiba kamemkaba koo anahemea juu juu!
Pole The Boss,ndo maisha bana!
 
wanawake wanapenda kupewa attention sana,ukimfanyia kitu kidogo amacho kimemkwaza bila we kujua ni kosa kubwa sana,wanapenda kuona wanapewa umuhimu hata kwa jambo dogo,,kununa kwao na kususa ni kutaka tu hujue kuwa hukufanya jambo flan vizuri hivyo ulirekebishe,,,inatokea bahati mbaya we hujagundua basi ye anahisi ni makusudi basi atavuta mdomo hata mwaka
 
na siku ukikosa wewe huwa unaomba msamaha au una unavimba tu undava undava,kama noma na iwe noma?
Kama nimekosea kweli nwamwomba sana tu, na kubembeleza juu. Ila zile za kulazimishwa ndo hua sitoi.
 


kwa kuwa wao ni watu wa makusudi
hufikiri na wanaume wapo hivyo...
kumbe mtu huna 'idea' mnuno unatokana na nini.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…