Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

nilimsikia mwanasaikoljia mmoja anasema kuwa the way wanawake wanavyokuwa wanaenda day kila mwezi hii huwa inawasababisha kuwa na hasira unaweza kumkuta kanuna au kususa bila sababu, hivyo ni maumbile yanachangia.
 
Sipati picha li maza la miaka 50 limenuna, na wewe ze boc kwa mimama haaaa,umelipata ulilokuwa unatafuta hahahahaaa
binafsi kununa huwa sijui ila nitakasirika kidogo na mpenzi ananijulia nikikasirika aseme nn, nikicheka yameisha, cha muhimu
the boss, mwanamke wako akinuna, mtafutie kitu kinachomfurahisha, nakuhakikishia sidhani kama ataendelea, utasikia, huku kabana
pua" bathi mpendhi uthirudie tena" lol

wewee lol
 
ishu sio kujishusha
ishu mtu kanuna hujui kanuna kwa nini
na hataki kuzungumza
na huyo mtu sio mtoto mdogo

Binafsi ukiniudhi siwezi ku shout wala kukupiga, na kusema pia nashindwa!Sasa nifanyeje ujue umeniboa?Nanuna!
Nikinuna halafu usiombe msamaha, nanuna tena! Ukinichunia nanuna tena!Ukiona nanuna kila siku ukawa unachelewa kurudi naendeleza kununa, hapo mwezi utafika. Ukutaka mpenzi wako asinune, ukiona hayuko sawa kuwa karibu nae sana ujue whats wrong. sometimes unaweza kumkwaza na usijue kuwa umemkwaza, ndo mana kwenye biblia wanamue mmeambiwa muishi kwa akili na wake zenu, muwapende kama Kristu alivyolipenda kanisa!KAZI MNAYO
 
Boss,
Ukitaka kulea huu ugonjwa, ni pale akinuna ujifanye kumbembeleza. Utakoma nakwambia. Dawa yake akinunua mara moja unampotezea, akirudia siku nyingine, unampotezea. harudii tena nakwambia...

wengine ukimpotezea anakugeuzia kibao eti umekuwa mjeuri, ukiamua kumbembeleza anaendeleza gubu kha, maisha magumu sana
 
kwa kweli wanawake wengi tunatabia hiyo ya kununa kwa sababu ambazo si za msingi na mara nyingi huwa tunafanya hivyo kama kukomoa, au kwa matarajio ya kubembelezwa, na pia huwa ni dalili ya udhaifu, mtu anaudhiwa na kusema hawezi either mume ni mkorofi au haingiliki basi anaamua kununa tu kama njia ya kuonyesha au kueleza hisia zake n.k n.k. na tabia hii mara nyingi huwa nao couples ambao hawana mawasiliano ya kutoasha, hawawezi kuambiana ukweli, wanaogopana n.k. ila kwa wale ambao hawana mambo ya pembeni wako wazi kuambiana mambo yote mazuri au mabaya huwa hawana tabia hizi. LAKINI WANAUME jamaniii looh ndio usiseme. wakitaka kupata sababu ya kuondoka nyumbani bila kuaga, kuacha KULA nyumbani, kuweka distance n.k. huwa nao wanatabia kama hiyo, jambo dogo atalivalia njuga, atalipaka wanja na uturi alimradi tu linukie weee liwe kubwa apate justification ya kufanya mambo yake bila bughudha! achani hizo na nyie

Umenena Muhanga
Kama kanuna au haeleweki ana tatizo gani ni bora kuingia street ili awe huru kutafakari yanayomsibu. Maana mwingine hata kumuona mwenza wake ndo kunazidisha hasira.
 
Mwanaume akinuna ujue kuna jambo hasa kufanyiwa visa kama kunyimwa chakula au kudharauliwa kwa kisingizio cha kuwa na uwezo kifedha hivyo kufanya mambo yake bila kumshirikisha mwenza wake.
 
Binafsi ukiniudhi siwezi ku shout wala kukupiga, na kusema pia nashindwa!Sasa nifanyeje ujue umeniboa?Nanuna!
Nikinuna halafu usiombe msamaha, nanuna tena! Ukinichunia nanuna tena!Ukiona nanuna kila siku ukawa unachelewa kurudi naendeleza kununa, hapo mwezi utafika. Ukutaka mpenzi wako asinune, ukiona hayuko sawa kuwa karibu nae sana ujue whats wrong. sometimes unaweza kumkwaza na usijue kuwa umemkwaza, ndo mana kwenye biblia wanamue mmeambiwa muishi kwa akili na wake zenu, muwapende kama Kristu alivyolipenda kanisa!KAZI MNAYO

basi we kiboko lol
 
Kununa au kususa wakati mwingine ni kutengeneza mazingira ya kutoka nje. Hivi mwezi mzima kimya kimya mwanamke akitongozwa street na jamaa aliyemsumbua muda mrefu na anaonyesha kujali si ndo mwanzo wa kumkubali na kucheat!!
 
the Boc hebu tuambiane ukweli yamekukuta nini? na hii habari ya mimama ni ukweli au? kama anakununia nunia njoo kwangu hapa ni full maraha na vicheko smile ni 24/7!!

mbona nishakuja kwako na wewe umeninunia? lol
 
ishu sio kujishusha
ishu mtu kanuna hujui kanuna kwa nini
na hataki kuzungumza
na huyo mtu sio mtoto mdogo
Mtu kama huyo anayenuna,ukigundua kuwa haunakosa juu ya kununa kwake,usimuulize chochote kile hata kama ni miaka uone kama hajaanza kukuongelesha mwenyewe na kuanza kukuuliza mbona hutaki kujua nimekasirika nini,yaani ni sawasawa na mtoto akilia usimbembeleze mwache alie tuu uone kama hajanyamaza,alafu tunatakiwa kujali afya zetu,mtu akinuna anaidhuru afya yake mwenyewe,so kama wewe haikudhuru mwache anune mpaka apasuke ndoa sio taasisi ya kubembelezana bwana bali kupendana na kuheshimiana +kushirikiana,kama kuna linalokusibu mshirikishe mwenzako,sio kukunja uso tuu,nyumba ndogo wanazikaribisha wenyewe akina mama bila kujua!!!
 
ha ha haa.....
 
mbona nishakuja kwako na wewe umeninunia? lol

:A S embarassed::shock: OMG! me?? kununa? mmh mmh labda umeenda kwingine nae ana jina kama langu. boss u know me now! we ar all scopions ....
 
Back
Top Bottom