Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

hebu acha kufinya jicho hilo na badala yake muulize The Boss vipi umenuniwa? maana naona kamwiba kamemkaba koo anahemea juu juu!
Pole The Boss,ndo maisha bana!

ha ha haa lol
 
kwa kuwa wao ni watu wa makusudi
hufikiri na wanaume wapo hivyo...
kumbe mtu huna 'idea' mnuno unatokana na nini.........
ndo mana waswahili wanasema ku ishi na mwanamke yatakiwa akili zaidi unayotumia darasani owise utafeli boss
 

Lizzy unacho kisema ni sahihi kabisa maana yalishanitokea mwanzo kabla ya kumfahamu,ilikuwa kununiana inachukuwa siku 5 hadi 6 ila baada ya kumsoma na kumwelewa vizuri yaani hazizidi siku mbili tayari tunaongea na kusahau kama tulinuniana. Nafikiri njia nzuri ni kumwelewa mwezio.
 
ndo mana waswahili wanasema ku ishi na mwanamke yatakiwa akili zaidi unayotumia darasani owise utafeli boss

kwenye hili la kununa hakuna mwanaume aliefaulu
wote tunakumbana nalo hili.......
 
s
asa atakuomba vipi msamaha na wewe umenuna na hutaki kusema
tatizo ni nini?

Tatizo ni kwamba watu wengine hua hampendi nyie ndio mbadilike ama kubadilisha approach zenu, mnataka mwenzi ndie abadilike. Kama mwenzako anakua mgumu tafuta namna ya kumlainisha. Ukiwa kwenye mahusiano wakati mwingine inabidi umtreat mwenzi wako kama mtoto, umedekeze, umbembeleze afunguke. Sio unaagiza agiza kama askari. Na kitu muhimu kuliko vyote ni TIMING. . . ukikurupuka tegemea kununiwa every other day.
 

yote uliyoyaongea yana maana kama tu
mwanaume anajua chanzo cha 'mnuno'
lakini kama huna hata idea kuna nini....inakuwa ngumu..
kuna watu unawauliza unaumwa?anaitikia eeh kichwa kinaniuma
kumbe 'mnuno' tu...hamna kichwa wala pua....
 
mmmmmmhhh atakayekuoa analo aisee!

Analo lipi? La kutokua mnafiki?
Kama ambavyo hua sipendi sifa za kupewa tu ilimradi ndivyo ambavyo sipendi kuombwa msamaha usioleweka unatoka wapi. Hu ndio.mwanzo wa mtu kurudia kosa kwasababu mara ya kwanza anakua hakujua lipi ni kosa na lipi sio kosa.
 
yote uliyoyaongea yana maana kama tu
mwanaume anajua chanzo cha 'mnuno'
lakini kama huna hata idea kuna nini....inakuwa ngumu..
kuna watu unawauliza unaumwa?anaitikia eeh kichwa kinaniuma
kumbe 'mnuno' tu...hamna kichwa wala pua....

Boss narudia tena, badilika wewe.

Nnachoongelea mimi ni namna ya kugundua chanzo cha mnuno. Kama approach unayotumia ama timing sio nzuri lazima upewe majibu yanayokutaka "uache kumsumbua" kwasababu huonekani kama unataka kujua kweli kinachomsumbua. Yani huonyeshi nia.
 

unajuaje siko hivyo? lol
anyway mi nafikiri kuna umri mtu hatakiwi kununa tu mradi kanuna
why not kusema kilichokuudhi?
 
ukiona mwanamke amenuna kwa kosa hilo dogo,ujue sababu sio hilo kosa dogo,ila kuna jengine zaidi ya hilo,ila hilo kosa dogo ni kama umemkumbushia makosa mengine
 
unajuaje siko hivyo? lol
anyway mi nafikiri kuna umri mtu hatakiwi kununa tu mradi kanuna
why not kusema kilichokuudhi?

Kwasababu mimi ni mtaalam, hoja zako zinaonyesha hutaki kujishughulisha.

Alafu kwenye mapenzi hamna kukua wala kuzeeka. Mimi mtu hata akifikisha miaka arubaini bado ntamruhusu awe anadeka deka kwangu na mimi ntadeka vile vile. Nisipomnunia kidogo anibembeleze au nispomdekea yeye ntamdekea/dekezwa na nani? Bila kudeka na kubembelezana utamu wa mahisiano nao unapungua.
 

basi kazi tunayo sisi tuliozeeka lol
 
ukiona mwanamke amenuna kwa kosa hilo dogo,ujue sababu sio hilo kosa dogo,ila kuna jengine zaidi ya hilo,ila hilo kosa dogo ni kama umemkumbushia makosa mengine

kumbeeeeee??????????
 

Hongera kwa kuwa karibu na kujua kuwa wanawake wana ugonjwa wa kununa na kususa.

Hakuna mwanaume anaenuna wala kususa na gubu juu.
 
Hongera kwa kuwa karibu na kujua kuwa wanawake wana ugonjwa wa kununa na kususa.

Hakuna mwanaume anaenuna wala kususa na gubu juu.

Hahaha. . . AG siunajua watu kujipendelea. Hata wale wanaowanyanyasa wenzi wao hua wanaona makosa kwa wenzi wao tu na sio kwao wenyewe.
 
... Hata wale wanaowanyanyasa wenzi wao hua wanaona makosa kwa wenzi wao tu na sio kwao wenyewe.

you know what I am saying...

Men are perfect creatures from Mars and angels from heaven.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…