Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

Sasa mtu unazeekaje kwa mpenzi wako, unaependa na kufurahia kuwa nae kama sio unaishi nae kama jukumu zaidi ya mapenzi?

wewe sasa unazungumza out of assumption now
wapi niliposema hakuna mapenzi bali majukumu...?
hizo ni assumptions zako.....
 
They sure are. . . the problem is always with us.
We are difficult creatures...hard to understand and impossible to please.

you can say that again...lol
 
wewe sasa unazungumza out of assumption now
wapi niliposema hakuna mapenzi bali majukumu...?
hizo ni assumptions zako.....

Rudi tena usome nilochoandika Boss. . .
Sijakuongelea wewe bali naongelea hali ya mtu "kuzeeka" kwenye mapenzi. Kama umeona kama nakusema wewe samahani na pole.
 
Rudi tena usome nilochoandika Boss. . .
Sijakuongelea wewe bali naongelea hali ya mtu "kuzeeka" kwenye mapenzi. Kama umeona kama nakusema wewe samahani na pole.

bila samahani nimekuelewa.....now
 
Hahahaha. . .
Ngoja nikusaidie kusema kwamba by admitting that painful truth 'I made your day'.

actually Lizzy unafanya the same mistake ambayo unaipinga
ya generalization....unapinga wanaume tuki generalize wanawake wote as the same
while na wewe unafanya hivyo hivyo by your statement.....umeona?
 
Nimemnunia wangu sasa mwezi wa pili, nina mkakati wa kumweka plan B. He is dying to know why....
 
actually Lizzy unafanya the same mistake ambayo unaipinga
ya generalization....unapinga wanaume tuki generalize wanawake wote as the same
while na wewe unafanya hivyo hivyo by your statement.....umeona?

Hahaahha Boss usidanganyike. Fuata mtiririko wa post tulizokua tunarudishiana na AG utaelewa kwanini.

Alafu weweeeeeeeeeeeee. . .
Mbona pale juu umeandika "kwanini WANAWAKE wako hivi" kitu ambacho kinaweza kikaashiria kwamba unaongelea wanawake kwa ujumla na sio baadhi? Au ndicho ulichotaka?
 
huko kununa na kususa a.k.a gubu kwa mwanamke ni suna, wanapeeeeenda kweli hawa watu! Any way tulishaambiwa ktk Bible anyi wanaume ishini na wake zenu kwa maarifa....maana ni wadhaifu... Hivyo unapaswa kujua akinuna ni kitu gani unaweza kufanya ili hali irudi shwari ndani ya nyumba.
'' AMANI NA UPENDO KATI YA MUME NA MKE HUANZIA CHUMBANI,KISHA SEBULENI HALAFU NDIO HUTOKA NJE''
 
wanawake ni wooote wanaonuna nuna bila sababu ya msingi
ni wooote....angalau wanaume sio wengi....
 
...kununiwa
ni ukumbusho kwako [mwanaume] umejisahau kumbembeleza kama zamani.
.
 
...kununiwa
ni ukumbusho kwako [mwanaume] umejisahau kumbembeleza kama zamani.
.

Mbu embu mpe darasa mwenzio anataka maji yawe moto bila ya kuchochea moto.
 
Reactions: Mbu

...kununiwa
ni ukumbusho kwako [mwanaume] umejisahau kumbembeleza kama zamani.
.

Utabembeleza hata kwa mambo yasiyobembelezeka? Ukweli ni kuwa mkuu huko kununa wanatumia as a weapon kwako wewe mwanaume,so ni technique tu mzee,inabidi sometimes uwe mbunifu kutegua hilo bomu(gubu) kama wao wanavyotumia kitumbua chao(unyumba) kukunyamazisha pale anapojua amekuudhi au kalivurunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…