Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

Umefanya mistake,ulitakiwa na wewe umbebee kileo akichape vema usiku huo akiamka asubuhi anakuwa amesahau maana wote mnakuwa na hangover.hapo sasa kila mtu atakuwa anawaza kuzimua au kupata supu.
hanywi,nimem frustrate mpaka ameokoka.
 
Sasa unaona kazi/ugumu/ubaya gani kuwa mnyenyekevu(humble) kwa mwenzi wako? Ndivyo inavyotakiwa iwe mara nyingi na sio akinuna pekee. Mdekeze mwenzio usisubiri hata hicho tu usaidiwe.
 
halafu in real life unaweza ukute ka Lizzy ni kapooooooole,omwana enfura,wanasema wahaya.

Bishanga kiukweli nna pande zote mbili. .
Mhusika mwenyewe ndie anaechagua upande upi aonyeshwe.
 
sogea basi karibu.

Nimeshakwambia naogopa maneno ya walimwengu. Maana wakikuona unawahi kurudi nyumbani wataanza kuongea 'ohhh kashampa limbwata jamaa wa watu' kumbe jamaa wa watu anawahi kupokelewa kwa mbwembwe, avuliwe mpaka viatu na kusindikizwa bafuni kabla ya kupewa msosi wa maana.
 
Bila ya nia ya kuwajumuisha wanaawake wote katika kapu moja la "wanunaji", ukweli ni kuwa asilimia kubwa wako hivyo. Lakini kama walivyosema wengine, mtu hanuni tu ovyo ovyo bila ya kuwa na sababu ya msingi. Hata ukiona umenuniwa, iwe kwa muda mfupi au mrefu, ujue kuna jambo au tabia unafanya/umefanya na kununa ni njia moja ya kuvuta hadhira yako kuwa kuna kitu hakiko sawa. Pengine njia nzuri zaidi ingekuwa kuelezana ukweli hapo hapo, lakini tukubali kuwa wanaume wengi au tuseme hata baadhi yao, ni "wakoloni" katika mahusiano, kila wanalosema/wanalofanya limeenda shule na kupingwa, kushauriwa au hata kuulizwa hawataki.

Hii mada ilishaletwa hapa tena na mwanamke na watu wakachangia vya kutosha. Tujikumbushe: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/138655-wanawake-na-kununa-kususa.html
 
Sasa unaona kazi/ugumu/ubaya gani kuwa mnyenyekevu(humble) kwa mwenzi wako? Ndivyo inavyotakiwa iwe mara nyingi na sio akinuna pekee. Mdekeze mwenzio usisubiri hata hicho tu usaidiwe.

Saikolojia ya mwanamke ni undefined. Hivyo inapasa kuangalia mambo mengi yanayohusiana na kununa kwake.
 
Bishanga kiukweli nna pande zote mbili. .
Mhusika mwenyewe ndie anaechagua upande upi aonyeshwe.

na mimi nina sura mbili ,ya uaminifu na ya cheating,inshallah tukioana you stick na ya upole i stick na ya uadilifu,as long as both tutakubaliana katika hilo ndoa itadumu!
 
Wanawake wa hivyo ni wale wanaopenda kukaa na vinyongo rohoni. Ni watu ambao hawana ujasiri wa kuongea wanapokwazika. Halafu huwa hawanunii wapenzi wao tu, unaweza ukakuta hadi marafiki wananuniwa. Tabu sana kuishi na mtu wa hivyo.
 
na mimi nina sura mbili ,ya uaminifu na ya cheating,inshallah tukioana you stick na ya upole i stick na ya uadilifu,as long as both tutakubaliana katika hilo ndoa itadumu!

Hehehehe. . . Kaaazi kweli kweli.
 
haswaa
 
Wanawake wa hivyo ni wale wanaopenda kukaa na vinyongo rohoni. Ni watu ambao hawana ujasiri wa kuongea wanapokwazika. Halafu huwa hawanunii wapenzi wao tu, unaweza ukakuta hadi marafiki wananuniwa. Tabu sana kuishi na mtu wa hivyo.

Njoo hapa kaunta ya juu uchukue mkono wa pongezi
 
Wanawake wa hivyo ni wale wanaopenda kukaa na vinyongo rohoni. Ni watu ambao hawana ujasiri wa kuongea wanapokwazika. Halafu huwa hawanunii wapenzi wao tu, unaweza ukakuta hadi marafiki wananuniwa. Tabu sana kuishi na mtu wa hivyo.

kwa mara ya kwanza leo umeongea kitu umenigusa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…