Bibiangu anaugua huu ugonjwa mwaka wa kumi sasa hakumbuki chochote hakumbuk mtu yoyoteHuu ugongwa wa kupoteza kumbukumbu(dementia) ni common sana kwa watu hasa wazee kuugua huko Marekani na Ulaya.
Kwa hapa bongo ni nadra sana kukutana na mtu anayegua ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (dementia). Maisha yangu yote nimewahi kumuona mzee mmoja tu akiugua huu ugonjwa, tena alikuwa amezeeka sana akiwa na miaka takribani tisini.
Huu ugonjwa ni common kiasi gani kwa Tanzania?
Ni ugonjwa common kabisa hata huku kwetu, unaitwa tu "uzee", ukishakula chumvi ukianza kupoteza kumbukumbu utaambiwa amekuwa mzee.Huu ugongwa wa kupoteza kumbukumbu(dementia) ni common sana kwa watu hasa wazee kuugua huko Marekani na Ulaya.
Kwa hapa bongo ni nadra sana kukutana na mtu anayegua ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (dementia). Maisha yangu yote nimewahi kumuona mzee mmoja tu akiugua huu ugonjwa, tena alikuwa amezeeka sana akiwa na miaka takribani tisini.
Huu ugonjwa ni common kiasi gani kwa Tanzania?
Unachosema nikweli bibiangu hakukumbuk chochote kile muda wote anatakiwa awe na mtu wa kumuangalia bila hivo anapoteaUgonjwa mbaya, fikiria unazeeka na kuwasahau mpaka watoto wako yani unawaona watu wapya kabisa machoni pako.
Kuna huyo bibi yeye alikuwa akienda kanisani anasahau njia ya kurudi kwake, ndugu hawaelewi kitu wakaona ni bora wamfungie ndani kabisa kumbe kufanya hivyo kunapelekea hali inakuwa mbaya zaidi. mwisho walimpeleka kijijini, wanamtenga, hawaongei nae mara kwa mara sasahivi hamkubuki mwanae hata jina lake halijui na haongei na mtu anaimba nyimbo zake kiromani katoliki
Huu ugonjwa unataka uwe karibu na mgonjwa wako mtengenezee kiratiba cha kufanya kila siku, na kila siku umkumbushe yeye nani, yupo wapi, anaishi na nani, una mahusiano yapi na yeye, na mambo mengine ya muhimu, sio kazi rahisi kufanya kila siku lakin kumsaidia mgonjwa asiwaone strangers huko mbele inabidi ifanyike hivyo