Ugonjwa wa Kusahau!

Ugonjwa wa Kusahau!

Buchanan

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2009
Posts
13,192
Reaction score
1,972
Kuna jamaa mmoja alikuwa anaumwa ugonjwa wa kusahau. Alipomwendea Daktari ambaye alimuuliza kuwa alikuwa anaumwa ugonjwa gani, yule jamaa akadai kuwa amesahau!

Have a good day!
 
Najaribu kuwachekesha lakini mmenuna!
 
Nimesahau umetuchekesha nini vile!!?:welcome:
 
haha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Najaribu kuwachekesha lakini mmenuna!

Wanaogopa kucheka usije ukawacharge fees.

With a light touch, on a serious note nadhani wanaona umekosea hutembelei sana jukwaa hili, kambi yako iko kwenye jukwaa la sheria.
 
Back
Top Bottom