Wilson Gamba JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 808 Reaction score 878 Aug 9, 2013 #1 Mtoto wa rafiki yangu anatatizo hilo pindi akitembea joint zote kuanzia za miguu adi mikono zinavimba,je atumie dawa gani? Msaada tafadhari
Mtoto wa rafiki yangu anatatizo hilo pindi akitembea joint zote kuanzia za miguu adi mikono zinavimba,je atumie dawa gani? Msaada tafadhari
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Aug 9, 2013 #2 Mkuu.@Wilson Gamba Dawa ya mtoto wa huyo Rafiki yako ni kumpeleka Hospitali akaangaliwe na Daktari itajulikana ana ugonjwa gani ndipo atakapo patia dawa.
Mkuu.@Wilson Gamba Dawa ya mtoto wa huyo Rafiki yako ni kumpeleka Hospitali akaangaliwe na Daktari itajulikana ana ugonjwa gani ndipo atakapo patia dawa.
K Kim Jong Un JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 496 Reaction score 263 Aug 12, 2013 #3 inategemea ana umri gani. inaweza kuwa rheumatoid arthritis au sickle cell kama unashambulia joint ndogo..
inategemea ana umri gani. inaweza kuwa rheumatoid arthritis au sickle cell kama unashambulia joint ndogo..