Ugonjwa wa kuvimba kwenye joint

Ugonjwa wa kuvimba kwenye joint

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
808
Reaction score
878
Mtoto wa rafiki yangu anatatizo hilo pindi akitembea joint zote kuanzia za miguu adi mikono zinavimba,je atumie dawa gani? Msaada tafadhari
 
inategemea ana umri gani. inaweza kuwa rheumatoid arthritis au sickle cell kama unashambulia joint ndogo..
 
Back
Top Bottom