Ugonjwa wa kuvimba Tezi

Tanya

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Posts
340
Reaction score
159
Salamu kwenu wana JF.

Nahitaji msaada kama kuna anaejua dawa ya kuvimba tezi au kilugachetu yanaitwa "Masambatuta" yaani maeneo ya karibu na masikio kuvimba na kuonekana kama umenenepa masikioni.

Mtoto wangu kaamka kavimba sasa sielewi dawa ya kutumia. Kuna mtu kanishauri niende njia panda nikatupe hela ya silva kama hamsini, mia au miambili ndio mtoto atapona na atakaeokota ndio atakuwa amepata huu ugonjwa. Sijuiiiii Mnidaidie tafadhali wataalamu.
 

Haya mambo ya imani ni shida sana


kwa hiyo upo tayari mwenzio apatwe na tatizo hilo?
 

hahaha wachawi wengi kweli dunia hii,we katupe tu mi nijichukulie kiulaini nikale chapati kwa mama kitoromoni
 

mpake blue....ile ya kuweka kwenye nguo
 
Asanteni Saaaana. Mbarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…