Salamu kwenu wana JF.
Nahitaji msaada kama kuna anaejua dawa ya kuvimba tezi au kilugachetu yanaitwa "Masambatuta" yaani maeneo ya karibu na masikio kuvimba na kuonekana kama umenenepa masikioni.
Mtoto wangu kaamka kavimba sasa sielewi dawa ya kutumia. Kuna mtu kanishauri niende njia panda nikatupe hela ya silva kama hamsini, mia au miambili ndio mtoto atapona na atakaeokota ndio atakuwa amepata huu ugonjwa. Sijuiiiii Mnidaidie tafadhali wataalamu.