Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Tushukuru Aweso ameanza kupuliza manukato huenda kukanukia murua!maana huko uozo mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tushukuru Aweso ameanza kupuliza manukato huenda kukanukia murua!maana huko uozo mtupu
Na tuanateseka haswa aliyepona alitumia dose 2 weeks saivi kapona kabisa allikuwa na mpaka vidonda vya mapele..tushaanza dose tunasubir matokeoScabies.
hapo mtaumwa familia nzima maana ni ugonjwa wa ngozi unaoambukiza, nenda hospitali mpate dawa zipo za kupaka
Sio ugonjwa wenye madhara sana ila unatesa
Wazo Zuri shukranChakukusaidia ili upate usingizi bila kujikuna kuna nenda maduka ya kisuni nunua habat soda ile ya mafuta kunywa kimfuniko/kijiko kimoja hazitazidi dakika 20 hiyo hali itapotea utalala
Wengi wenye shida hii wanameza kutuliza tu Ila si msaadawife ulimsumbua sana huu ugonjwa kabla ya kwenda hospital chukua piritoni meza hafu utanpa mrejesho
Ungesema dawa gani umetumia hili wengine iwasaidieWakubwa ee nisiwe kama wale wakoma kumi ,natoa shukrani za kabisa kwenu hatimae nimepona kabisa siku ya nne leo hakuna harara wala kuwashwa tena mwili ..Mungu awabariki wote mlioonesha nia ya dhati kunisaidia mawazo dawa gani nitumie asanteni sana...
Dawa zake ni zipiii?Scabies.
hapo mtaumwa familia nzima maana ni ugonjwa wa ngozi unaoambukiza, nenda hospitali mpate dawa zipo za kupaka
Sio ugonjwa wenye madhara sana ila unatesa
Inauzwaa bei ganii?Dawa yake inaitwa scaboma...nunua ya lotion sio cream
Umetumia dawa gani? Maana nina ndugu zangu wako Songea, wanahangaika na hilo tatizo.Wakubwa ee nisiwe kama wale wakoma kumi ,natoa shukrani za kabisa kwenu hatimae nimepona kabisa siku ya nne leo hakuna harara wala kuwashwa tena mwili ..Mungu awabariki wote mlioonesha nia ya dhati kunisaidia mawazo dawa gani nitumie asanteni sana...
Em weka picha ya hiyo detol hapa, watu waone wajue ni ipii.pole sana....huu ugonjwa kama hauna uhusiano na herpes(kama nimekosea wataalamu watarekebisha) dawa yake ya kuacha kuwasha ni detol(sio sabuni detol ya maji)
ukimaliza kuoga weka maji lita 10 halafu weka kifuniko kimoja(usizidishe kifuniko kimoja utachubuka)
kila unapooga fanya hivo
mimi kwa siku naoga mara 2,asbh na jioni so nilitumia kwa siku3 tu sijawashwa tangu mwezi wa 6 hadi leo tar 13/07/2024
pole sana najua unapitia kipindi kigumu
Songea na mbinga mambo ni moto ni kujikuna vipele hasa sehemu za makutanio..nilitumia sabuni kuogea tstesmosol(sjui nipo sawa ila pharmacy wanaijua)baada ya hapo nilipaka potassium ikikauka napaka Lotion Scaboma na entezma(hii iliondoa mabaka na vipele kwa haraka sana ..nilikunywa mafuta ya pilipili manga..nilimeza fluconazole kwa siku 3,NEOLOR kwa siku tano.Umetumia dawa gani? Maana nina ndugu zangu wako Songea, wanahangaika na hilo tatizo.
Nitajie Dawa ili niwaambie na wao wakanunue, watumie.
Ni nzuri mno imenisaidia sana na ilichangia kiasi kikubwa kuona manadiliko ya haraka kwangu na wanangu tumepona kabisaNarudia tena dawa yake ni Scaboma inatoka malaysia..nunua ya Lotion na upake mara moja tu inatosha maana inaingia hadi kwenye figo acha kuhangaika na dettol hutapona....never tumia hiyo tu..japokua ina madini ya hatari ya lindane.....ndio maana unashauriwa mara moja tu